Wednesday 19 June 2013

THIAGO USIENDE MAN UNITED

THIAGO USIENDE MAN UNITED:PIQUE

                           Kiungo wa timu ya soka ya Barcelona ya Hispania Thiago Alcantara

Kule nchini Uspania, mlinzi mahiri wa klabu ya soka ya Barcelona ya nchini humo, Gerald Pique, amempa somo mchezaji mwenzake Thiago Alcantara, kuendelea kubakia Barcelona, licha ya kupewa dili ya kujiunga na Mashetani wekundu wa England, timu ya Manchester United kwa ajili ya msimu mpya wa ligi kuu ya soka ya England......habari hii inaendelea katika angalia ukurasa wa Sports

No comments:

Post a Comment