Monday 8 July 2013

MATUKIO KATIKA PICHA

 WAKATI WA UZINDUZI WA KISIMA CHA HABARI, JUMAMOSI ILIYOPITA NYAKATO NATIONAL JIJINI MWANZA.














Ndivyo mambo yalivyokuwa katika uzinduzi wa kisima cha habari, kushoto na Mery Joshua na frola kweka, wanafunzi wa mwaka wa mwisho katika chuo cha biashara CBE kitivo cha masoko