Aliyewahi kuwa katibu mkuu msaidizi wa Umoja wa mataifa, UN, Asha Rose Migiro, ambaye hivi sasa ameteuliwa kuwa mbunge kupitia CCM.
Nafasi za
kuteuliwa za ubunge.
· Rais amteua Asha Rose Migiro.
· Uteuzi huo umeanza tangu jumatatu Desemba 2, 2013.
TAARIFA KUTOKA IKULU.
Rais wa Jamhuri ya muungano wa Tanzania, Jakaya Mrisho
Kikwete, amemteua Dr. Asha Rose Migiro kuwa Mbunge.
Taarifa iliyotolewa na Ikulu jijini Dar es salaamjumanne hii
ya Desemba 3, 2013, na katibu mkuu
kiongozi, Dr. Florens Turuka imeeleza kuwa uteuzi huo umeanza tangu jumatatu ya
Desemba 2, 2013.
Dr. Asha Rose Migiro, ni katibu wa halmashauri kuu ya taifa,
idara ya siasa na uhusiano wa kimataifa katika chama cha Mapinduzi, CCM.
No comments:
Post a Comment