Tuesday 19 November 2013

RAGE " OUT " SIMBA.

Mwenyekiti wa klabu ya Simba aliyesimamishwa na kamati ya utendaji ya klabu hiyo, Ismail Aden Rage.

Kamati ya utendaji ya Simba yamsimamisha uenyekiti Aden Rage.

               Na. Mwandishi wetu.

Kamati ya utendaji ya klabu ya wekundu wa msimbazi, Simba iliyokutana jumatatu usiku, imemsimamisha kazi Mwenyekiti Ismail Aden Rage.

Rage amesimamishwa kazi kutokana na masuala kadhaa ya kiutendaji , lakini kubwa imeelezwa ni suala la mauzo ya mchezaji Emmanuel Okwi.

No comments:

Post a Comment